Sharobaro la jf
JF-Expert Member
- Apr 23, 2020
- 237
- 325
Wakuu atimae Harmonize leo ameamua kumaliza bifu lake na EATV, amepiga stori mbili tatu na Tbway katika kipindi cha Friday Night pia amemtambulisha msanii wake ibrah ambae alikuwa akitambulisha EP yake ya steps.
Kilichonifuraisha ni kusikia Harmonize akiisifu WCB. Pia amesema hana ugomvi nao na anamkubali Diamond kwa asilimia 100
Kilichonifuraisha ni kusikia Harmonize akiisifu WCB. Pia amesema hana ugomvi nao na anamkubali Diamond kwa asilimia 100