Leo Harmonize kahojiwa rasmi EATV, amtaja Diamond

Sharobaro la jf

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2020
Posts
237
Reaction score
325
Wakuu atimae Harmonize leo ameamua kumaliza bifu lake na EATV, amepiga stori mbili tatu na Tbway katika kipindi cha Friday Night pia amemtambulisha msanii wake ibrah ambae alikuwa akitambulisha EP yake ya steps.

Kilichonifuraisha ni kusikia Harmonize akiisifu WCB. Pia amesema hana ugomvi nao na anamkubali Diamond kwa asilimia 100
 
Hapa kafanya poa nazani atapunguza chuki za team Diamond wanaomtukana Sana kwenye mtandao wake wa Instagram.Diamond ana mashabiki wengi Sana so kaona apunguze kero za team Diamond na hii amecheza Kama pele.
kabisa mkuu yaani kajua kucheza na akili zao
 
Harmonize, video za wife,malaika na fall in love ziko wako wapi??? I cant get enough of these songs...
 
Toka nianze kumsikiliza harmonize kwenye interviews zake hajawah mwongelea vibaya diamond na WCB kiujumla

Kabla ya kuandika jitahidi kuchunguza ni nan msababishi wa haya yote?
Jibu jepesi ni mashabiki tu ndo wanapenda kuwe na chuki baina yao na sio wao
 
unataka sema mashabiki ndo walisababisha aimbe wcb wanamroga japo haimstui, inauma ila inabidi wazoee... kibinadam inauma sana kumsuport mtu afike pale kisha aanze kukutungia nyimbo za vichambo then leo ana act kinafiki eti hana tatizo nao

yeye apambane na hali yake tu maana hata walomjaza upepo nadhani kashaanza kuwachukia
 
Toka day 1 Hamonaiz anaisifiwa Wcb, wewe ndio umeanza kusikiliza interviewers zake leo kwa hio tunakushangaa.
Funzo: usikomae sana na Intagram itakupoteza

chato : 🦠 🦠🦠🦠🦠
 
ungesoma vizuri nilichoandika ucngejihangaisha kunijibu...

tuanze hapa,
~we ulivosikia kwenye hainishtui kamtaja nan wa usafini? yawezekana mi nna shida ya kusikia

~kwani we ni harmonize mwenyewe au! hadi ujue maana ya kilichoimbwa na aliowalenga?
Maana kama ni shabiki ilikupasa uwe ushajua nachomaanisha kuwa BIFU LINAKUZWA NA MASHABIKI kama wewe, lakini WAO HAWANA BIFU kama tunavowasikia katika interviews zao

Mtu kama ww inabidi ufanyiwe counselling ya akili ili usikurupuke kujibu kabla hujasoma vzuri
 
Bifu la Diamond na Harmonize lilianzishwa kimkakati ili kumfuta kabisa Ali Kiba kwenye ramani ya dunia
Hii ina ukweli ..... naona dodo limeoza ..... huku kwaru kule one night stand


bado siku mbili
 
Hamna kitu pale anataka aonekane mwema kumbe mnafiki tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…