CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Wanawake asilimia kubwa sana biashara zao kwanza ni za kuiga kwa 99%
Na biashara zao zinaangukia hapa
- Min super market-wanapenda sana hivi viduka
- Saloon ya Kike- Hapa kuna kundi kubwa sana tofauti na wanaume wanao taka salooni za kiume.
- Duka la vipodozi
-Duka la nguo na urembo
Ni vigumu sana mwanamke kutaja biashara nje ya hapo
Sasa basi ukiwa na mke wako/Mchumba na kataja biashara hizi zingine inabidi umuheshimu sana.
- Kataja Kilimo- Ni wachache sana wanataka kulima na ukiona anakuambia anataka kulima basi mheshimu sana make ni wa kipekee na ana upekee wake
- Kufuga Kuku- Hapa kiasi fulani wapo wapo wana taja hizi vitu.
- Kufuga Nguruwe- Hapa tena inabidi umvulie kofia.
- Anataka Hardware- Hapa tena mvulie kofia make wanawake hawapendi kabisa biashara za kuchafuka.
Wamama hizo ndo huwa biashara zao wanazo penda na wengi hufunguliwa kweli na nyingi hufa within a time.
Na Mke wako anakomaa anataka kilimo basi mheshimu sana make ni wa kipekeee kabisa.Hii ni kwa wanawake wa town.
Sent using Jamii Forums mobile app