Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Wee jamaaa. Mfumo wa Mungu nihurumie au sioHuo mfumo wa malipo uliopo serikalini kwa sasa Mungu tu awasaidie. Sijui mama Samia na watu wake wanawaza nini, mfumo una complications nyingi zisizo na kichwa wala miguu.