Sizitak mbichi hizi aliyetunga ile hadithi alikua na akili sana!!!!!
Ndege wafananao huruka pamoja. Akili zao zimefanana pia na matendo yao. Akili zihama kichwani zikakimbilia huko matakotako. Akili zimetoka north to south matokeo yake ni haya 'Hawajitambui ni upoyoyo'Nakumbuka ile clip akiwa sentro alimuita DAB kwa jina matakotako. Sijaelewa alikuwa na maana gani.