Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Ndo nimeingia mida hii hii mkuuTo late kusema
HakunaHamna ambaye yupo kangaroo humu ??
Yaaaaah kama kawa si unajua tenaNaona Unafanya Yako
Siku Nyingine Tupeane Mialiko BuanaYaaaaah kama kawa si unajua tena
Ha ha ha ha haSiku Nyingine Tupeane Mialiko Buana
*****
kwani kwaresma imeishaKwa wale ambao ndoto yao kubwa ilikuwa kuonana na mimi waje hapa Durban au Kangaroo Night Club , njoo tupate bia mbili tatu huku tukiburudika na muziki mzuri na warembo wakareeeeeeee
Yani bampa 2 bampa
Sio Lazma Hiishie Watu Waburudike Kira Mtu Na Starehe zakekwani kwaresma imeisha
Kwaresma ndo wadudu gani hao ???kwani kwaresma imeisha
mfungo kwa wakristoKwaresma ndo wadudu gani hao ???
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Wewe mtt Ujalala mpaka sasa iv......??mfungo kwa wakristo
badoWewe mtt Ujalala mpaka sasa iv......??
anhaaa nilikuwa sijuimfungo kwa wakristo
poa poaanhaaa nilikuwa sijui