Leo huenda ikawa siyo siku nzuri kwa Rais wa TFF Malinzi kwani Mapacha hawa kuchukua Fomu rasmi

Tumefuzu U17 ya Africa na tunaandaa U17 2019 which will put us in a good position kuandaa Afcon ijayo
Hao wanajifanya vipofu na viziwi wanachokiona kwa Malinzi ni Kabila lake tuu wala sio Academies kibao alizozianzisha wala ligi ya wanawake,FA nk.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Malinzi mpira umemshinda zamani tu Yanga alikimbizwa pale eti mnamjalibu Tff unazani umechemka klabu Yanga tu utapaweza Tff? Wajumbe kazi hii tunawakabizi piga chini Malinzi ana jipya tumbueni jipu hilo
 

Gentamycine why pick on Malizi if I may ask? Ukweli wa mambo uongozi wa mpira nchni ni balaa tupu, na ujinga huu hauja anza leo na sijui kwa nini Serikali yetu ilikuwa inavumumilia usanii huu kwa miaka nenda rudi!! Mpira uliondoka na utawala wa awamu ya kwanza tawala zilizo fuata ziliwapa leeway TFF, ukijaribu kuchunguza kwa umakini utakuta Viongozi ni wale wale wanacho fanya ni kuwa-recycle basi, wengine hawajawahi hata kucheza mpira au kuwa na taaluma yoyote kuhusu masuala ya SOKA wanacho tanguliza mbele ni maslahi yao binafsi na kufuja fedha za FIFA, CECAFA na makusanyo ya fedha za viingilio kwa kuchapisha tiketi feiki au ku manipulate electronic ticketing system - TTF ni shamba la bibi ndiyo maana watu wanataka kutoana macho kutiliana fitina and all vices you can imagine kwa kungombea Uongozi.

Tukumbuke kwamba mchezo wa SOKA unaweza kulitangaza Taifa letu tukiwa na wachezaji wazuri,makocha na Viongozi wa TFF wanao jali uzalendo kwanza kuliko maslahi binafsi, Dk.Magufuli amefanikiwa sana katika vita ya kubaini vyeti feiki, wafanya kazi hewa, udanganyifu katika biashara ya madini, ku-deal na wezi/mafisadi vita iliyo bakia ni kuhusu umangimeza unaofanyika katika Uongozi na uendeshaji wa Mchezo wa mpira Nchini - sekta hii imekuwa kama kichwa cha wenda wazimu, hakuna mafanikio to talk about zaidi za ku-invent excuses kila tunapo shindwa kufanya vizuri Kimataifa.

Kinacho shangaza zaidi unakuta masaa yote Viongozi wa mpira wanapoteza muda waki entertain infights na malumbano ya kijinga badala ya kuendeleza mchezo wa mpira nchini. Binafsi napendekeza kwa Rais wetu mpendwa/Serikali yake aingilie kati na kupiga marufuku wale wote wanaojulikana walichangia katika udidimizaji wa mchezo wa mpira nchini na wanajulikana basi wasiruhusiwe kugombea Uongozi wa soka nchini i.e wapewe life ban, tuwe wakweli hapa wengi wanao pania sana Uongozi wa TFF ni wavurugaji tu - wateuliwe watu wengine kabisa preferrably damu mpya wenye mawazo mapya na uzalendo uliyo tukuka tumechoshwa na waigizaji.
 
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
cc Jamali Malinzi
 
Hupigi kura porojo tu hizi
 
Ally Mayai si Bure lazima ana watu wengi vigogo wa Mpira waliopo Nyuma yake, kwahiyo Malinzi Ajiandae Kisaikolojia watu wamechoka na Bla bla
 
Mkuu, mapinduzi ya soka hapa nchini yatafanywa tu pakiondolewa Usimba na Uyanga. Tazama sasa wanavojipanga, kama rais ni Msimba basi makamu wake lazima awe Myanga. Malinzi apumzike tu kwa kweli maana ni aibu sana.
 
Tena Malinzi anapiga kura kwani ni mwenyekiti wa chama cha mkoa anakotoka, maajabu haya!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…