Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Utopolo wako huko Misri wakiwapigia magoti Al Ahly wasiwadhalilishe leo jioni na ushahidi ni jana wameenda kuingia makubaliano ya ushirikiano na Al Ahly eti mashirikiano ya kiuchumi.Yaani Utopolo mshirikiane na mwarabu kiuchumi? Mbingu na ardhi.
Jana Rais wa Utopolo alivyo mwehu akaulizwa swali kwenye media ya mwarabu timu ipi anadhan inaweza kubeba ndoo akasema Al ahly au mamelodi.
Halafu katika msafara wa Utopolo kule Misri kuna ndondocha wao mmoja nilisoma naye shule ya msingi Kibasila nimeshangaa kumuona wamesafir naye.
Leo ni kibano