Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Kila mtu acheze mechi yake... Wakati mnapiga kelele Yanga inasonga na kuchanja mbuga. Kusoma naye Kibasila haina maana kama alikuwa loser mpaka leo ni loser.Utopolo wako huko Misri wakiwapigia magoti Al Ahly wasiwadhalilishe leo jioni na ushahidi ni jana wameenda kuingia makubaliano ya ushirikiano na Al Ahly eti mashirikiano ya kiuchumi.Yaani Utopolo mshirikiane na mwarabu kiuchumi? Mbingu na ardhi.
Jana Rais wa Utopolo alivyo mwehu akaulizwa swali kwenye media ya mwarabu timu ipi anadhan inaweza kubeba ndoo akasema Al ahly au mamelodi.
Halafu katika msafara wa Utopolo kule Misri kuna ndondocha wao mmoja nilisoma naye shule ya msingi Kibasila nimeshangaa kumuona wamesafir naye.
Leo ni kibano
km huyo aliyesafiri na Yanga ni ndondocha basi wewe usiye na connection ya kusafiri hata gari moja nguruwe yoyote ni maiti kabisaUtopolo wako huko Misri wakiwapigia magoti Al Ahly wasiwadhalilishe leo jioni na ushahidi ni jana wameenda kuingia makubaliano ya ushirikiano na Al Ahly eti mashirikiano ya kiuchumi.Yaani Utopolo mshirikiane na mwarabu kiuchumi? Mbingu na ardhi.