Mbona hujahimiza kuombea waTanganyika waliouawa Oct 29, 2025?Leo ijumaa tuombee dua sana watu wa Iran walinde nchi yao iliovamiwa na maadui.
Wanaharakati wa Tanzania pia tuwaombee dua macho yao yafunguke ili wajue maana ya haki za binaadam.
Kwanini wanashindwa kulaani raia wa Isreal na marekani wanaonyanyswa kutuma picha za matukio ya vita nchini kwao?
Mimi naumia kila mauji. Nawashangaa wanaharakati wa tz wanashindwa kuwalaani hao wengine kwa kunyanyasa raia zaoUnafiki wa kobazi
Unaumia na ya Iran, ila unafurahia mauaji ya Watanganyika
Hebu mlaani Samuya hapa hadharani Kwa kuuwa Watanganyika?Mimi naumia kila mauji. Nawashangaa wanaharakati wa tz wanashindwa kuwalaani hao wengine kwa kunyanyasa raia zao
Walikwambia? Kwa hivyo bora wafe kwa makombora ya Isreal na marekani? Wakiristo mbona hivyo mnacheap propaganda?Sasa kama wairan hawataki huo utawala?
mmatumbi ukilaani itasaidia niniMimi naumia kila mauji. Nawashangaa wanaharakati wa tz wanashindwa kuwalaani hao wengine kwa kunyanyasa raia zao
Wewe wasema, Sheria ni msumeno tukianza kuwasema USA na Israel haiwezekani tuwaache viongozi wa Iran, kulikuwa na ulazima gani kulazimishana kufata Sharia law hata kama si wadini hiyo ?Walikwambia? Kwa hivyo bora wafe kwa makombora ya Isreal na marekani? Wakiristo mbona hivyo mnacheap propaganda?
Hukumsikia yule Shehe aliyesema: October 29 waliouawa wengi siyo waislam, akashawishi kuwa waislamu msitoke kuandamana. Hawa ni "victims" wa culture, wanajiondoa kabisa uaFrika na kujiona unique na wanweza kuwatenga ndugu zao.Unafiki
Unaumia na ya Iran, ila unafurahia mauaji ya Watanganyika
Tuwaombee tena.Leo ijumaa tuombee dua sana watu wa Iran walinde nchi yao iliovamiwa na maadui.
Wanaharakati wa Tanzania pia tuwaombee dua macho yao yafunguke ili wajue maana ya haki za binaadam.
Kwanini wanashindwa kulaani raia wa Isreal na marekani wanaonyanyswa kutuma picha za matukio ya vita nchini kwao?
Tumwache tu Babu Trump aendelee kupiga magaidiHukumsikia yule Shehe aliyesema: October 29 waliouawa wengi siyo waislam, akashawishi kuwa waislamu msitoke kuandamana. Hawa ni "victims" wa culture, wanajiondoa kabisa uaFrika na kujiona unique na wanweza kuwatenga ndugu zao.
Wapumbavu sana hawa!!!Hukumsikia yule Shehe aliyesema: October 29 waliouawa wengi siyo waislam, akashawishi kuwa waislamu msitoke kuandamana. Hawa ni "victims" wa culture, wanajiondoa kabisa uaFrika na kujiona unique na wanweza kuwatenga ndugu zao.
mmatumbi ukilaani itasaidia nini
ugaidi kwa mtazamo wa wakiristo wa jf ni UislamuTumwache tu Babu Trump aendelee kupiga magaidi
Hilo liko waziugaidi kwa mtazamo wa wakiristo wa jf ni Uislamu
ugaidi kwa mtazamo wa wakiristo wa jf ni Uislamu
Kwa tafsiri ya wakiristo?Ni ugaidi ndio, kama kumuua kafiri unapata thawabu, na bikra 72 Si ugaidi huo