Leo January 2, 2024 Dodoma tumepata mvua

Leo January 2, 2024 Dodoma tumepata mvua

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Tunamshkuru Mungu tangu jana na Leo tunapata mvua. Tulikua na mashaka na mazao tuliyopanda kama tutapata mvua. Mungu atujaalie iendelee kunyesha
PXL_20240102_111059688.jpg
 
😃Jiji langu dodoma kuna mwaka mvua zilianza karibu na mwezi wa pili
 
Safi mvua Dom our next home.....lazima kujenga Dom
 
Yaan mvua za huku hazina formula, unaweza ukapanda mahindi mvua ikagoma aisee labda uwe una mwagilia
Sasa hapo kwenye kumwagilia. DUWASA hawana maji ya kutosha. Kuna sehemu za Jiji huu ni mwezi mzima hawajaona hata tone la maji.
 
Back
Top Bottom