Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna hata mdada mmoja mzuri mzuri miongoni mwao nimtumie PM ya kizushi kumpongeza??Temepokea ma - moderator wapya watano, nadhani mnawaona kwenye staff members online.
Nimefurahia na ujio na staili wanayotumia. Mod 1, Mod 2, Mod 3, Mod 4 na Mod 5. Wacha wachape kazi
Hapo Mod wa kike ni Mod namba ngapi mkuu?Tumepokea ma - moderator wapya watano, nadhani mnawaona kwenye staff members online.
Nimefurahia na ujio na staili wanayotumia. Mod 1, Mod 2, Mod 3, Mod 4 na Mod 5. Wacha wachape kazi
Na ban zilikuwa faster..... Hawajui mtu ukizingua ban[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Tumepokea ma - moderator wapya watano, nadhani mnawaona kwenye staff members online.
Nimefurahia na ujio na staili wanayotumia. Mod 1, Mod 2, Mod 3, Mod 4 na Mod 5. Wacha wachape kazi
Ni kweli hili ni tatizo suguHawajibu pm wala email wanakera sana hawa, sioni faida yao
Ni kweli hili ni tatizo sugu
Pm yangu haijajibiwa mpaka sasaYes, hiyo ni team mpya imeongezwa kwa ajili ya kuboresha utoaji huduma.
Kuhusu PM, mnaweza kutuma moja kwa moja kuja kwa ID hii ya JamiiForums na zitafanyiwa kazi haraka zaidi.
Shukrani.