Leo JF tuna Ugeni Mzuri

Status
Not open for further replies.

Dragoon

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2013
Posts
7,012
Reaction score
8,139
Tumepokea ma - moderator wapya watano, nadhani mnawaona kwenye staff members online.
Nimefurahia na ujio na staili wanayotumia. Mod 1, Mod 2, Mod 3, Mod 4 na Mod 5. Wacha wachape kazi
 
Temepokea ma - moderator wapya watano, nadhani mnawaona kwenye staff members online.
Nimefurahia na ujio na staili wanayotumia. Mod 1, Mod 2, Mod 3, Mod 4 na Mod 5. Wacha wachape kazi
Hakuna hata mdada mmoja mzuri mzuri miongoni mwao nimtumie PM ya kizushi kumpongeza??
 
Tumepokea ma - moderator wapya watano, nadhani mnawaona kwenye staff members online.
Nimefurahia na ujio na staili wanayotumia. Mod 1, Mod 2, Mod 3, Mod 4 na Mod 5. Wacha wachape kazi
Hapo Mod wa kike ni Mod namba ngapi mkuu?
 
Tumepokea ma - moderator wapya watano, nadhani mnawaona kwenye staff members online.
Nimefurahia na ujio na staili wanayotumia. Mod 1, Mod 2, Mod 3, Mod 4 na Mod 5. Wacha wachape kazi
Na ban zilikuwa faster..... Hawajui mtu ukizingua ban[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…