The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
JWTZ kazi yake ni kuwalinda Watanzania dhidi ya watu wa nje.Respect where respect is due!
Sikuona popote pale ambapo JWTZ lilikiuka haki za Mtanzania.
Kwa hilo, well done.
But in the long run, the jury is still out.
This.
We una akili na busara sana. Natamani wengi wangekuelewa.Hii curfew kwenye Nchi njaa ni ya kupuuziwa.Jeshi limeshatupa code, polisi hawana uwezo wa kupambana na raia hata kwa wiki moja.
Usiishie hapo kwa uchambuzi wako. Eleza pia akina Mulilo waliokuwa wakijiapiza kuua na kuvunja waTanzania, hiyo kazi yao wameifikisha wapi?Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni chombo cha wananchi. Leo, limethibitisha kuwa ni jeshi la wananchi na si la watawala. Bila aibu, woga wala ukatili, kwa amani na furaha, limesimama na wananchi kiasi cha kushangliwa.
I know that.JWTZ kazi yake ni kuwalinda Watanzania dhidi ya watu wa nje.
Kazi yao kimsingi ni kulinda mipaka ya nchi humu ndani ni kazi ya Polisi.
Yani hata kuwa parade vile mitaani haikutakiwa ile ni kazi ya Polisi na FFU.