Leo katika historia, CHADEMA wavunja rekodi

Malaika Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2014
Posts
902
Reaction score
909
Leo katika Historia

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Leo kimetimiza miaka miwili kwa kukaa bila kufanya maandamano

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Am the first one to reply this pumba
 
Mkuu una sura ngumu una undugu na shetani
 
Leo katika Historia

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Leo kimetimiza miaka miwili kwa kukaa bila kufanya maandamano

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Wana ubavu huo?
 
Kwani maandamano inafuta uchadema?ata wasipo fanya maandamano lakini bado chademaipo na bado wanatesa kama kawaida na bado wanamtesa magufuli mpaka anabaki kuharibu mashamba tu na kuwakamata bila faida yoyote.
 
Hawa ni watoto wadogo sana. Wakipigwa mkwara tu wanaahirisha maandamano kwa HATI YA DHARULA.
 
Kumbe inawezekana! Siasa mpaka 2025 maana 2020 anapita tena kibano kitaendelea. Watafanya kwa muda tu then wanarudi kulekule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…