Leo katika historia huyu ndio Mwamba Le Profeseri Lipumba.

Leo katika historia huyu ndio Mwamba Le Profeseri Lipumba.

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
BREAKING: Prof Ibrahim Lipumba leo ametangaza nia ya kurudia wadhifa wake wa Mwenyekiti Taifa wa CUF, amemuomba Katibu Mkuu atengue maamuzi yake ya kung’atuka katika wadhifa huo mwaka jana. #MwananchiLeo
 
Attachments

  • FB_IMG_1718269720543.jpg
    FB_IMG_1718269720543.jpg
    22.1 KB · Views: 5
Ndio maana Babu Tale umeneja wa Diamond kaona unamchelewesha.
Kama juzi ameweza kuandaa mkutano wa CCM kwa milioni 200 alishindwa nini kuandaa akiwa Meneja? kule kuna fedha za kuchota + ufisadi kwenye kamati ndiyo wanapiga pesa ndefu haswa kutoka kwenye mashirikina na taasisi za umma.
 
Hana aibu yule mzee, kwanza ukiona Profesa anaacha taaluma yake anang'ang'ania siasa ujuwe kichwani hamna kitu.
Lipumba hana aibu na ni mlafi sana, nakumbuka enzi ya Mkapa alikua anakula chakula kwa pupa sana kama anakimbizwa na mtu na hashibi... mara achukue misambusa mara mijuisi yaani anakula haraka kama kichaa!!

Muone vile ule ulimi ukipepesa kama nyoka ndivyo tabia yake.
 
Mzee kaona astaafu vizuri; CCM wamefika bei kupata wapinzani wa kujaribu kuivuruga CDM.

CCM imahitaji wapinzani watakaosema uchaguzi ulikuwa huru na haki na kisha wajitokeze pale Ikulu kula pilao na vyeti vya kushiriki uchaguzi.
 
BREAKING: Prof Ibrahim Lipumba leo ametangaza nia ya kurudia wadhifa wake wa Mwenyekiti Taifa wa CUF, amemuomba Katibu Mkuu atengue maamuzi yake ya kung’atuka katika wadhifa huo mwaka jana. #MwananchiLeo
Hivi kwa nini nywele zinaota robo kichwa tu huyu mwamba?
 
Back
Top Bottom