Leo katika historia: Jenerali Mstaafu David Musuguri alizaliwa Januari 4, 1920. Atimiza miaka 102

vitu kama hivi ndio huwa navipendaga
 
Happy birthday 104 now Mungu ambariki kamanda
 
Kumbukumbu isiyosahaulika, Mungu ampokee na aende kwa amani, Raha ya milele umpe eeh Bwana, sisi tunakushukuru kwa zawadi hii kama taifa.

Ayubu,
akasema, Mimi nilitoka tumboni mwa mama yangu nili uchi, nami nitarudi tena huko uchi vilevile; Bwana alitoa, na Bwana ametwaa; jina la Bwana na libarikiwe.
 
Rip
 
Alikuwa anakula nini huyu marehemu.. maana si kwa kuishi huko... miaka 104, miezi 9, na siku 25!
 
Yule mzee mudy mwenye historia ya Waislam hajapata hii historia aweze kutufafanulia zaid?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…