Leo katika historia: Oktoba 29, 2019

martinezmarty

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
318
Reaction score
508
KUTOKA MAKTABA [emoji467] [emoji116] ⠀

HAROLD HOLD ⠀
[emoji117]Mnamo mwaka 1967 nchini Australia ulifanyika msako mkubwa Sana Baada ya kupoteza kwa aliyekuwa Waziri Mkuu HAROLD HOLD. ⠀
[emoji117]Ambaye alikua ana ogelea kwenye fukwe za CHEVIOT nchini humo HAROLD alizama kwa bahati mbaya na kuto kuonekana tena. ⠀
[emoji117]Yalikuja majeshi ya Anga, majeshi ya majini, wananchi wa kujitolea, wanajeshi wa Kawaida na polisi walitumia vyombo vya majini na Anga.⠀
[emoji117]Lakini mpaka leo hii hajapatikana akiwa maiti wala akiwa mzima wala tetesi zozote kuhusu yeye. [emoji22]⠀

Hii Picha yake ya mwisho kupiga akiwa hai.

 
Aisee, wasio julikana walifanya yao ama ni wale jamaa wa kutoka sayari za mbali walimchukua?.
 
Pamoja na technolojia yao lakinI hawakuweza kumpata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…