Roho iliniuma. Walinikatalia kupiga kura ya urais mtaani kwetu kisa milijiandikishia kituo cha ofisini
Sikukata tamaa. Nilipaki motokaa yangu kwa hofu ya vurugu.
Nikapanda dala dala, nikapanda boda boda. Tiii. Ofisini. Nikapanga foleni. Njaa ikauma. Kiu ya maji. Hatimae nikapiga kura
SIMALIZII.