Leo katika Historia

Leo katika Historia

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2017
Posts
3,402
Reaction score
4,532
1. Tarehe kama ya leo tarehe 11/9/2001 ndio siku ambayo kituo cha biashara cha Marekani WTO majengo pacha yaligongwa na ndege mbili ambazo tukio zima liliratibiwa na kikundi cha Alqaeda chini ya Osama Bin Laden na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 3000 baada ya majengo hayo kuanguka

2. Tarehe kama ya leo 11/9/1971 Raisi Nikita Khruschev wa Urusi alifariki dunia.Alizaliwa mwaka 1894

3. Tarehe kama ya leo 11/9/1940 Dictator Hitler raisi wa ujerumani alivamia nchi ya Romania kwa lengo la kuweka airforce base kwa vile kulikuwa na akiba kubwa ya mafuta ili kujiwekea mhimili imara upande wa mashariki tayari kuivamia nchi ya Urusi

NA WEWE UNAKUMBUKA TUKIO LOLOTE KWA TAREHE HII YA LEO TUPIA HAPA ELIMU HII
 
Back
Top Bottom