Leo Katika Historia...

AlphaPii

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2015
Posts
1,168
Reaction score
1,852
Tarehe kama ya leo mwaka/miaka kadhaa iliyopita kulitokea nini?Nani alizaliwa nani alifariki?...!

Karibuni...
 
Tar. 5 Februari!

1977>KUZALIWA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI
 
1564>Kuzaliwa kwa Mwanafizikia wa Italia Galileo Galilei
 
Tarehe kama ya leo mwaka 1985 alizaliwa mwanakandanda maarufu wa Ureno Cristiano Ronaldo
 
Tar. 6 Februari!

1945 alizaliwa Bob Marley mwanamuziki kutoka Jamaika
 
1911:Alizaliwa Ronald Reagan rais wa Marekani (1981-89)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…