Leo katika historia

Leo katika historia

Nguvu moja

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
3,371
Reaction score
2,713
Tangu kuondoka kwa malinzi tff
Yanga aijawai kuongoza ligi ya vpl
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Aliekuwa rais wa tff Jamal malinzi
Jamal-Malinzi-702x336.jpg
Jamal-Malinzi.jpg
 
Hapana, alikuwa center forward
Yanga hatuna dhiki ya kusajili Center Forward isiyokuwa na center bolt...wee subiri msimu uone msimu huu simba wasipolichukua tutalichukua kisha tumwombe mheshimiwa sana pale magogoni atuzungushie ukuta pale Jangwani tunifungie huko Simba wakihitaji kuliona waje na vyetu vya babu zao vya kuzaliwa!
 
Ndoto hizi za saa sita mchana na jua kali linawaka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Simba imempita yanga point 11
Bado... Tu yanga mna ndoto za kumpiku Simba mkae kileleni nicheke kingereza kwanza kidogo huhuhuhhh
 
Ndoto hizi za saa sita mchana na jua kali linawaka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kama saa yako muda huu inakuonesha ni saa sita mchana na kwamba macho yako pia yameshuhudia jua basi wewe na saa yako mnapaswa kujengewa ukuta usio na gate na mrefu kuliko ule mheshimiwa tumbua tumbua alienda kuzindua juzi simanjiro!
 
Mapambano bado yanaendelea
Mpaka kieleweke.
 
SIMBA NGUVU MOJA
[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom