Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
Hapana, alikuwa center forwardMalinzi alikuwa Kocha wa Yanga?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hapana, alikuwa center forward
Alikuwa streakerMalinzi alikuwa Kocha wa Yanga?
Yanga hatuna dhiki ya kusajili Center Forward isiyokuwa na center bolt...wee subiri msimu uone msimu huu simba wasipolichukua tutalichukua kisha tumwombe mheshimiwa sana pale magogoni atuzungushie ukuta pale Jangwani tunifungie huko Simba wakihitaji kuliona waje na vyetu vya babu zao vya kuzaliwa!Hapana, alikuwa center forward
Ndoto hizi za saa sita mchana na jua kali linawaka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Yanga hatuna dhiki ya kusajili Center Forward isiyokuwa na center bolt...wee subiri msimu uone msimu huu simba wasipolichukua tutalichukua kisha tumwombe mheshimiwa sana pale magogoni atuzungushie ukuta pale Jangwani tunifungie huko Simba wakihitaji kuliona waje na vyetu vya babu zao vya kuzaliwa!
Kama saa yako muda huu inakuonesha ni saa sita mchana na kwamba macho yako pia yameshuhudia jua basi wewe na saa yako mnapaswa kujengewa ukuta usio na gate na mrefu kuliko ule mheshimiwa tumbua tumbua alienda kuzindua juzi simanjiro!Ndoto hizi za saa sita mchana na jua kali linawaka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Watasoma tu gizan kwamba wameipiku cmba bt cyo kwa mtazamo huuuSimba imempita yanga point 11
Bado... Tu yanga mna ndoto za kumpiku Simba mkae kileleni nicheke kingereza kwanza kidogo huhuhuhhh
Alikuwa streaker
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Watasoma tu gizan kwamba wameipiku cmba bt cyo kwa mtazamo huuu
Duuh mkuu mungu anakuonaWe ni sawa na bi hindu.