nani ni straika/foward bora kuliko mwingine kati ya hawa hapa???
HERITIER MAKAMBO~YANGA,,, MEDIE KAGERE~SIMBA,,, ENOCK ATA~AZAM na AMBOKILE~MBEYA CITY.
weka ushabiki pembeni, kuwa mkwel,,, tujue the best straika/foward kati ya hao hapo..
NB:: hao straika/foward wengne nimewaacha kwa sababu maalumu.