Leo kutawaka moto...

Leo kutawaka moto...

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Namtizama nasema hiiiiiiiih. Hatari sana. Lazima game ipigwe hata kama uwanja utakuwa umejaa maji. Lazima. Nasubiria tu aseme ameshafika nikampokee.

Maandalizi yake ni bab kubwa.
 
Mkamia maji hayanywi.
Abdallah kichwa wazi ana makusudi, anaweza akaamua kununa tu, utaanza baby ishike ishike, hii sio kawaida yangu, sijui nini kimetokea mwisho usingizie tumbo la kuhara.
Unaweza kuta unapiga tako 3 tu walete, unabaki kusifia maua ya gypsum ya chumbani.
 
Namtizama nasema hiiiiiiiih..... Hatari sana. Lazima game ipigwe hata kama uwanja utakuwa umejaa maji. Lazima.... Nasubiria tu aseme ameshafika nikampokee....

Maandalizi yake ni bab kubwa................
Mbwembwe nyingi! Kumbe unasubiria kumpakia mkongo!
 
Namtizama nasema hiiiiiiiih..... Hatari sana. Lazima game ipigwe hata kama uwanja utakuwa umejaa maji. Lazima.... Nasubiria tu aseme ameshafika nikampokee....

Maandalizi yake ni bab kubwa................

Hadi sasa timu pinzani imetia mpira kwapani, inasemekana mganga wa timu kafa...
 
Back
Top Bottom