Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Nameza kabisa vidonge flani vya kuzuiaUsiuze mechi basi
Kwani mwaka upi ulikuwa sio wa kufanya kazi?Hizi New Year's resolution mimi huwa zinanipa tabu sana.kiufupi mwaka huu 2023 ni mwaka wa kufanya kweli tuache ngonjera
Mrejesho saa 5 kasolo usiku sasa vipi huko.Namtizama nasema hiiiiiiiih..... Hatari sana. Lazima game ipigwe hata kama uwanja utakuwa umejaa maji. Lazima.... Nasubiria tu aseme ameshafika nikampokee....
Maandalizi yake ni bab kubwa................
Mbwembwe nyingi! Kumbe unasubiria kumpakia mkongo!Namtizama nasema hiiiiiiiih..... Hatari sana. Lazima game ipigwe hata kama uwanja utakuwa umejaa maji. Lazima.... Nasubiria tu aseme ameshafika nikampokee....
Maandalizi yake ni bab kubwa................
Namtizama nasema hiiiiiiiih..... Hatari sana. Lazima game ipigwe hata kama uwanja utakuwa umejaa maji. Lazima.... Nasubiria tu aseme ameshafika nikampokee....
Maandalizi yake ni bab kubwa................
Kijana mkamia game kaaibisha uanaume wake kwa binti rojorojo..Hadi sasa timu pinzani imetia mpira kwapani, inasemekana mganga wa timu kafa...