Leo kwa maajabu nimelata followers 500 kwa mkupuo instagram

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Leo kitendo cha kuwafollow celebrities mbali mbali nimeshangaa nimepata friend requests zisizopungua 500 na mpaka sasa naendelea kupokea friends requests

Jamani wajuzi wa haya mambo ebu njoeni mnijuze kulikoni?

Tena cha ajabu zaidi walionitumia friends requests wana followers zaidi ya laki moja wengine mpaka 1m +
 
K
Kuna MTU alishawahi niambia ukifollow macelebrity was kibongo wrote lazma followers waongezeke..kusema kweli sijui what's behind it sababu so mtumiaji was insta sana
 
K

Kuna MTU alishawahi niambia ukifollow macelebrity was kibongo wrote lazma followers waongezeke..kusema kweli sijui what's behind it sababu so mtumiaji was insta sana
Ndo kilichotokea kwangu mkuu

Leo nimeamua kuwafata celebrities nimeshangaa napokea friends requests za kutosha
 
Em kawa unfollow ulete mrejesho
Mbona mnasura sawa au ni mtu na kivuri chake mmenichanganya mm nampendaga Scorpio me, sasa huyu mwingine nani anasura ya baby wangu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mbona mnasura sawa au ni mtu na kivuri chake mmenichanganya mm nampendaga Scorpio me, sasa huyu mwingine nani anasura ya baby wangu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hujamzoea huyo kwa kuiba sura za watu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…