Leo kwa maajabu nimelata followers 500 kwa mkupuo instagram

nilishawahi kuwafundisha humu jinsi ya kupata followers kwa njia hiyo. sasahivi nina 26.1K na nimewafollow watu 77 tu. Saaahivi instagram wamebadili baadhi ya mambo so hii mbinu ya kwenye video hapo chini haina matokeo mazuri kama zamani japo utapata followers. kuna mbinu mpya ya kupata followers ambayo kwa sasa naifanyia majaribio na napata followers sio chini ya 100 kwa siku.
 
kama vipi nifollow @mckonje kisha uniambie kuwa umeniona Jf nami nitakufollow back
 
Kwa kila follower mmoja unalipwa sh.ngapi?
hatulipwi kwa kila follower mmoja ila kwa shout out utakuta mtu anakupa 1000 ya vocha,matangazo 5000 [HASHTAG]#WcW[/HASHTAG] sometimea mtu ananipa pesa nimuweke kama [HASHTAG]#Wcw[/HASHTAG] wangu. so inalipa japo kidogo kama utawatumia vizur followers wako
 
Kuna namna ya kujua kama ni unadukuliwa au ni genuine, hebu niPm user id yako nikucheckie.
 
kwan kuna tatizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…