sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Kwa taifa la Tanzania cheo Cha Ubalozi ni cheo kinachotumika kumvunja mtu nguvu Hasa yule anayekuwa anaonesha dalili za kutaka madaraka ya mwenziwe au kupinga live utawala we mwenziwe.
Mfano Mh Emmanuel Nchimbi alipinga live kuteuliwa kwa Hayati Magufuli kuwa mgombea wa CCM badala ya Mh Hayati Edward Ngoyai Lowasa.
Baada ya Magufuli kuwa Rais aliona nguvu ya Nchimbi na Lowassa ni kizuizi kwake akaamua Bora amteue kuwa Balozi Ili aweze kumfatilia vizuri lakini zaidi kuvunja mtandao wao. Ilo nalo likawa.
Ila kumbuka Nchimbi alikuwa tishio kwa Magufuli na sio kwa Samia haahahha siasa hizi.
Vivyo vivyo kwa Rais Samia na Polepole pamoja na Bashiru wote hawa amefanikiwa kuwatenganisha kwa mmoja kumtupa Cuba na ngebe zote kwisha na Mmoja kumpa ubunge wa uteule hahahahah
Je, Leo Magufuli angefufuka akakuta Hali hii angejiskiaje?