Leo mchana nimeota Yanga wametinga makundi baada ya kupata sare ya 1-1

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Leo Yanga watatinga makundi kwa ushindi wa sare ya goli moja kwa moja.

Yanga wataingia makundi usiku wa leo na hakuna atakae amini !! licha ya vitimbi vya hapa na pale lakini yanga leo wanaingia makundi kibabe kabisa ,goli la Yanga litafungwa kipindi cha kwanza kwa faulo.
 
Kila la kheri mshinde mpunguze kujificha avic town
 
Leo Yanga watatinga makundi kwa ushindi wa sare ya goli moja kwa moja.

Yanga wataingia makundi usiku wa leo na hakuna atakae amini !! licha ya vitimbi vya hapa na pale lakini yanga leo wanaingia makundi kibabe kabisa ,goli la Yanga litafungwa kipindi cha kwanza kwa faulo.
Ni sahihi kuziamini NDOTO ZA MCHANA?
 
Angalia ucje jinyea bure
Leo Yanga watatinga makundi kwa ushindi wa sare ya goli moja kwa moja.

Yanga wataingia makundi usiku wa leo na hakuna atakae amini !! licha ya vitimbi vya hapa na pale lakini yanga leo wanaingia makundi kibabe kabisa ,goli la Yanga litafungwa kipindi cha kwanza kwa faulo.
 
Yanga 5
Waarabu 0
Cupace20221109181424918.jpg
 
Leo Yanga watatinga makundi kwa ushindi wa sare ya goli moja kwa moja.

Yanga wataingia makundi usiku wa leo na hakuna atakae amini !! licha ya vitimbi vya hapa na pale lakini yanga leo wanaingia makundi kibabe kabisa ,goli la Yanga litafungwa kipindi cha kwanza kwa faulo.
Nina jamaa ninamfaham nayeye tangia majuzi kaota hivihivi Yanga imeenda kwa Sare ya 1-1 tena waTunisia ndiyo walichomoa dakika za mwishon
 
Sa hv no away goal , mpak mshindi apatikane, Yanga inatakiwa ishinde ndo isonge
 
Na iwe heri kwa Yanga. Lakini hadi sasa matokeo bado ni sare ya bila goli.
 
Back
Top Bottom