Leo Mei 8, 2023 Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi ametimiza miaka 98

Leo Mei 8, 2023 Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi ametimiza miaka 98

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Happy Birthday Mzee Mwinyi. Umeona niliandika pale mwanzo kwa nini Hussein anakwenda huko kila wakati, kumbe leo birthday ya Mzee.
 
Hii party naona imeisha sasa hivi. Naona Hussein anaondoka huko. Sasa sijui inakuwaje. Sijui anarudi Zanzibar sasa hivi. Unguja ni 15 minutes away by plane.
 
Back
Top Bottom