Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Leo miamba ya soka kukutana saa 4 kamili usiku, huku Sevila ikiwa na wachezaji hatari sana. Barnega, Ocampos, Munir El haddad na Suso.,,. Inter wao wakiwa na Lautaro na lukaku.
LAUTARO MARTINEZ
LUCAS OCAMPOS