Leo mji wote kimya, kwani kuna nini?

Leo mji wote kimya, kwani kuna nini?

cj21125

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2013
Posts
3,358
Reaction score
3,107
Leo sijamuona Mzee Akilimali kwenye kile kijiwe cha kahawa wala sijamuona manji akila bata kama kawaida yake na wala sijamsikia Jerry Muro akiropoka kwenye redio. Ila nimemuona Plujim na Mkwasa wameinamisha vichwa vyao chini

Tafadhali kwa anayejua aujuze nini kimetokea mpaka mambo yakawa hivi.
 
Mavuvuzela yote leo yamechomekwa vibunzi kwenye mouth pieces!
 
Leo sijamuona Mzee Akilimali kwenye kile kijiwe cha kahawa wala sijamuona manji akila bata kama kawaida yake na wala sijamsikia Jerry Muro akiropoka kwenye redio. Ila nimemuona Plujim na Mkwasa wameinamisha vichwa vyao chini

Tafadhali kwa anayejua aujuze nini kimetokea mpaka mambo yakawa hivi.

Tunajua basi??? Ila tetesi Okwi yupo mjini.
 
Yanga AKA kandambili wamepakatwa kwa raha zao. Wanafurahia utamu wa kupakatwa, ndio sababu MUJINI kumekuwa kimyaaaaa.
 
Mji wote kimya, kwa sababu mabwana tumevamia.
 
Kocha mpya akiwasili kimyakimya pale Airport ImageUploadedByJamiiForums1425856926.095686.jpg
 
ha ha ha japo nipo mbali..mnyama kanifurahisha sana
 
Nani anaye shangaa cmba B kufungwa na cmba A? Mrisho batezi kalvin mbuyu dani na mtalajiwa niyonzima unategemea matokea gn hapo??????
 
Nani anaye shangaa cmba B kufungwa na cmba A? Mrisho batezi kalvin mbuyu dani na mtalajiwa niyonzima unategemea matokea gn hapo??????

Mkuu umemsahau kijana wetu "mtiifu" simon msuva
 
Dah ninajua sn ila unajua c vema kutaja wote hata msemaji wao jarah muro ni mwanachama wa mcmbz pale njaa ndio imempeleka mkuu
 
Eti Simba wanasema, mechi yao na Stand United ilikuwa ni ngumu kweli, ila yao na Yanga walijua tu ingekuwa rahisi mno ya kujichukulia point tatu. Soka la bongo halikui sababu hii. Unavyokamia kwenye mechi moja tu, et umfunge yanga tu, bt mechi zingine unafungwa, ina maana gani sa kwa klabu..
 
lbaraka mbona unajichanganya? umesema simba walisema mech yao ngumu ilikuwa na stand united.... that means hiyo waliikamia na wakafungwa ila rahisi ni mech yao na yanga kwa maana ya kuwa hiyo wana relax au wewe hujui ugumu na urahisi? kama kitu kigumu ndo kinakuumiza kama ni rahisi una relax hilo nalo mpaka uende shule dada? simba inamfunga yanga kwa kuwa yanga ni team legelege na simba huwa hawapo kuhongwa na yanga kama team nyingne ambazo huwa zinahongwa ziachie magol. hapo simba ndo huwa wanagoma otherwise wewe hujielew mbona hata ulaya hayo mambo yapo? uliza mech ya arsenal na man united huwa inakuaje.... acha kudai eti m[ira bonho haukui we unaona uingereza imechukua makombe gan team yao ya taifa? kama mpira haujui inanyamaza tu .... yanga si team ngumu kwa simba kwa sabab ndani ya yanga kuna simba....
 
Back
Top Bottom