Leo sijamuona Mzee Akilimali kwenye kile kijiwe cha kahawa wala sijamuona manji akila bata kama kawaida yake na wala sijamsikia Jerry Muro akiropoka kwenye redio. Ila nimemuona Plujim na Mkwasa wameinamisha vichwa vyao chini
Tafadhali kwa anayejua aujuze nini kimetokea mpaka mambo yakawa hivi.
Kocha wameshafukuza?
Leo kuna mida mida kuna press conference, nadhani ndo wanatangaza kumtimua.
Kisa kufungwa na mnyama????
Nani anaye shangaa cmba B kufungwa na cmba A? Mrisho batezi kalvin mbuyu dani na mtalajiwa niyonzima unategemea matokea gn hapo??????