Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
- Thread starter
-
- #381
You tube andika unachotaka kupikaUmempata wapi ticha hata mimi nahitaji mbinu hiyo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] korodani tenahahaha
wese la kufa mwanadamu. hivyo vyeupe ni mayai,ngogwe viazi au korodani za mbuzi...?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha mkuu umenichekesha ....mpaka abiria wenzangu wamenishangaa.
Kweli hapo nimeonesha uanaumeUamuzi mzur wengine wangekua wamepata sababu ya kuongeza mchepuko
AsanteHuo ndio uanaume......hujakimbia tatizo bali umelitafutia suluhisho. Safi sana
We acha tu ila nampenda Sana mke wangu siwezi kumuacha kisa hajui kupikaKaweka tena na miyai yake ya kusimama? [emoji3] [emoji3]