Leo mke wangu amenipikia hivi, nimeamua nimpeleke akasome upishi darasani

Huyo ndo mke wa kuoa, kwani hukuwahi kuishi kinyumba na mwanume mwingine tangu akiwa chuo.
 
donoadonoa huto tunyama ule ulale!
au umesusa? hshshaaaa
 
Ngoja nikupe namba zangu za simu ili akirudi shuleni iwe anakuja Tuition kwangu huyo mkeo, au unaonaje mkuu?
 
We acha tu ila nampenda Sana mke wangu siwezi kumuacha kisa hajui kupika
Hahaha unafanya vyema! Mlete kwangu huyo bureeee anakaa wiki tuu akirudi huko anakuungia mpaka maji ya kuoga[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Hahaha unafanya vyema! Mlete kwangu huyo bureeee anakaa wiki tuu akirudi huko anakuungia mpaka maji ya kuoga[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hahaa utakuwa unatoka tanga wewe
 
Jamaa wewe yani uyo mkeo kama ni kweli anapikaga hivyo mwambie namuamkia,ila kama hizi picha unadanlodi sehemu namsalimia mpishi
Tafuta hizo Picha kama utaziona, huyo ni my wife tena msomi wa masters
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…