Leo mke wangu amenipikia hivi, nimeamua nimpeleke akasome upishi darasani

Mbona sijaona kipi amekosea? ni hayo mafuta au kuna kingine?? maana kama mayai hakuna mtu amekula biriani mchuzi wake unawekwa mayai au biriani yenyewe ikawekwa mayai.

Mshauri apunguze mafuta, mengine yupo sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…