Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,446
- 1,645
Ndugu,Upinzani ni muhimu sana mkuu.
Hivi unadhan kusingekuwa na upinzan Tanzania ingefika ilipo?
You have to think.
Kwani mkuu na wewe ni musukuma?.Ndugu,
Wapinzani waliopo hii leo kwa wingi huu tuonao nakuhakikishia hawana wema wowote juu ya taiga letu ukilinganisha na maslai yao binafsi.
Ogopa mtu anayekutetea hadharani; ndani ya chumba anakusengenya. Katika hili wanakosa uhalali kuitwa wema kwa taifa letu.
Asante.
CCM ni msukuma?Kwani mkuu na wewe ni musukuma?.
Ndio ndugu hapa tunaongelea CCM herufi kubwa kabisa.
Kuna kundi lilijiunga humo kumsaport mwenzao awamu ya tano.ndo maana nikauliza ndugu so kwa ubaya.CCM ni msukuma?
Ukijibu hapo juu nami nitapata nguvu ya kuandika ndugu kwa ulichokiuliza.
Wewe utakufa na stress tu! Wasukuma wapo na wataendelea kuwepo milele na milele yote na ndiyo wenye maamuzi nani atawale hapa TZ.Alichokifanya Marehemu ni kuingiza kundi kubwa la Clueless individuals kutoka Usukumani matokeo yake ndio haya
Kundi gani acha uongo au ulijiunga JF kwenye awamu ya Tano?Kuna kundi lilijiunga humo kumsaport mwenzao awamu ya tano.ndo maana nikauliza ndugu so kwa ubaya.
Niliambiwa kuna makundi matatu huko mmoja linaitwa ccm Asilia,Kundi gani acha uongo au ulijiunga JF kwenye awamu ya Tano?
Endelea kuambiwa uongo mpaka utakapojitambua mkuu.Niliambiwa kuna makundi matatu huko mmoja linaitwa ccm Asilia,