Tumbiliwaulaya
JF-Expert Member
- Nov 22, 2020
- 278
- 435
AMINI AMINI nakuambia CCM ina nyakati nne nanusu tu mbele, mwanga unaoiangazia utazimika ghafla. waliomo wanapaswa kuiombea sana nao wajishushe wapate kibari cha aliye juu.Habari Tanzania!
Naomba kushiriki nanyi mawazo mapana na mtazamo usio kikomo. Katika uongozi wa awamu ya tano (5) nimegundua mambo makuu yafuatayo;
1. Nchi hii wapinzani waliopo wote kwa vyama vyote vilivyopo si wema kabisa 100% na hawafai abadani.
2. Rais kujiita mtetezi wa wanyonge ilikuwa fumbo juu ya CCM ya u-mimi na kujuana ( Mtendaji alipenda kujiweka kwa watu wasio nacho huku akiwaadhibu walionacho chamani). Hii ni fikra pana sana.
3. Nchi hii watu wengi sana wapo gizani juu ya elimu, rasilimali na sera maendeleo kutokana na kufungwa sambamba na kupumbazwa kifikra na watu wenye nia ovu kwa nchi yetu.
NB
Nitaisimamia CCM miaka yote na kuamini CCM ndio chama bora na safi kwa maendeleo ya taifa letu. Kiukweli vijana tuamke na tuione kesho ya nchi hii.
CCM ni bora zaidi kuliko kuishi bila chama hapa nchini.
Asante.
Mimi ni Msukuma ila ninachokisema ni 'Usukuma' kwenye Siasa nadhani hata Mayalla analielewa hiloWewe utakufa na stress tu! Wasukuma wapo na wataendelea kuwepo milele na milele yote na ndiyo wenye maamuzi nani atawale hapa TZ.
Asante mkuu kwa ushauri,poleni kwa Msiba.Endelea kuambiwa uongo mpaka utakapojitambua mkuu.
Wamebaki kina ole sir buyer,mwendo ni uleuleSijui tumekosea wapi?ngoja tuone,,maana mbele giza nyuma giza...tulipo katikati hatujui tuelekee wapi...hakimu ndio mkuu wa mkoa....na Yule mwenzetu ndie hakimu,jaji,ndiye spika...na pia ndiye raisi wa tff...ndie takukuru ndie polisi...anakamata,anashitaki na ndio anahukumu...Sasa tupo gizani,NAE KAHUKUMIWA...labda kamwanga katakuja,MI NASUBIRI
Uwezo wako ni wa chini sana.No research; no right to write any comment.
Leo unalikataa kabila lako la Kichaga?Mimi ni Msukuma ila ninachokisema ni 'Usukuma' kwenye Siasa nadhani hata Mayalla analielewa hilo
Kijana umetumwa?Leo unalikataa kabila lako la Kichaga?
Uwezo upi unaouzungumzia kwenye sentensi yako ndugu?Uwezo wako ni wa chini sana.
Ndiyo mama.Kijana umetumwa?
majibu yako tu yanatosha kuonyesha mliomo ndani mlivyo kwisha jiinua, na wala hammhitaji aliye juu kwani mnadhani mlishajijenga kama mnara wa babeli, yeye aliye juu asema mtapolomoka ghafla hakuna jiwe litabaki juu ya jiwe jingine,lililowakuta sasa lilikuwa ishara ya mwanzo wa wakati kumbuka mnazo nyakati nne na nusu mbele,za kukumbuka na kujinyenyekeza la mtafutiliwa mbali wala pasisazwe kitu juu yenu.Sikuwa na uwezo wa kujua hili kama ukiandika chochote hapa JF juu ya CCM huwa kuna teuzi sijui zitakuwa zinahusiana na nini kwa mfano?
Hizo teuzi za umalaya naomba unijuze nami niwajue malaya wateuliwa?
Ndugu,
Uhitaji maombi wala ubashiri kuhusu CCM zaidi ni kujipa maumivu moyo tu.
Karibu.
majibu yako tu yanatosha kuonyesha mliomo ndani mlivyo kwisha jiinua, na wala hammhitaji aliye juu kwani mnadhani mlishajijenga kama mnara wa babeli, yeye aliye juu asema mtapolomoka ghafla hakuna jiwe litabaki juu ya jiwe jingine,lililowakuta sasa lilikuwa ishara ya mwanzo wa wakati kumbuka mnazo nyakati nne na nusu mbele,za kukumbuka na kujinyenyekeza la mtafutiliwa mbali wala pasisazwe kitu juu yenu.
Huna hoja ulioijenga kwanini wawe CCM tu na si wengine.Uwezo upi unaouzungumzia kwenye sentensi yako ndugu?
Usifanye maamuzi ukiwa umekwazika au furaha ikikutawala au huzuni ikikupata.
Huna hoja ulioijenga kwanini wawe CCM tu na si wengine.
Ukitazama nchi zote ulimwenguni zenye maendeleo endelevu ni za ki democracy. Siyo zile za kutukuza chama tawala au kiongozi alieko madarakani . Mfano Japan, Australia, Korea kusini, Africa kusini , Sweden, Norwey nk . Hizi ni nchi ambako vyama vinabadilishana madaraka tena bila taharuki wala hofu.
Kuna nchi za ki communist na za ki sosholist . Mfano Korea kaskazini, China , Urusi, Zimbabwe nk . Hizi ndiyo kama Tz . Kwao ni kukitukuza chama tawala au kiongozi alieko madarakani. Na ukiziangalia kimaendeleo ziko nyuma na hazina cha kujivunia na Tanzania ni mojawapo.
Ukisema CCM ndiyo yenye nia njema na nchi hii ni uongo. Walioingia mikataba mibovu ni kina nani ?!. Walioiba mashirika ya umma ni kina nani ?!.
Mambo ni mengi acha nikuache [emoji107]
Alichokifanya Marehemu ni kuingiza kundi kubwa la Clueless individuals kutoka Usukumani matokeo yake ndio haya
Kuna kundi lilijiunga humo kumsaport mwenzao awamu ya tano.ndo maana nikauliza ndugu so kwa ubaya.
Uzi hauna maana kabisa. Sema sheria za jukwaa ni tuheshimiane. Ila ewe ngosha ficha ujinga wako