L Lugodisha Member Joined Aug 25, 2018 Posts 57 Reaction score 24 Mar 27, 2021 #41 imhotep said: Alichokifanya Marehemu ni kuingiza kundi kubwa la Clueless individuals kutoka Usukumani matokeo yake ndio haya Click to expand... Mbona hujayataja hayo matokeo?
imhotep said: Alichokifanya Marehemu ni kuingiza kundi kubwa la Clueless individuals kutoka Usukumani matokeo yake ndio haya Click to expand... Mbona hujayataja hayo matokeo?
Nas Mapesa JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 5,286 Reaction score 5,423 Mar 27, 2021 #42 Mi binafsi kuna mambo bado nayatafakari kuhusu ccm na upinzani
kidunula1 JF-Expert Member Joined Apr 2, 2016 Posts 6,305 Reaction score 6,351 Mar 27, 2021 #43 Kidumu Chama Cha Malinduzi!!!
CHIBURABANU JF-Expert Member Joined Sep 19, 2013 Posts 2,914 Reaction score 3,476 Mar 27, 2021 #44 Ruttashobolwa said: Kwani kuna ubaya? Click to expand... Hakuna, Ni wasiwasi wangu tu kuwa linaleta ukabila ndani ya chama.
Ruttashobolwa said: Kwani kuna ubaya? Click to expand... Hakuna, Ni wasiwasi wangu tu kuwa linaleta ukabila ndani ya chama.