Leo naenda kutambulishwa kwa wakwe rasmi TANGA

Fasouls

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2011
Posts
937
Reaction score
319
Habar zenu wakuu,nimeambatana na mchumba wangu hapa tupo safarin kuelekea tanga kwa ajili ya utambulsho,jaman naomben maombi yenu nikubaliwe na hatmae tupewe baraka zote,
 
Binti keshakubali wazazi wataanzaje kukataa?
You can easily elope!
 
jiandae kulishwa libwata la ukweli ambalo utaishi ukiamini watu wa huko peke yake ndio wanaojua mapenzi,
 
Hongera na mafanikio mema.
Ukisha tambulishwa uoe
 
Nenda ukikutana na nazi hapo kwenye nyumba ya mkwe husiiluke bali ikanyage.

Limbwata utalishwa leo.

Kila lakheri mkuu,huyo mchumba tumesha chukua tayari.
 
hahaha, huwa wanalisha libwata ambalo utaishi maisha yako yote ukijua kuwa watu wa tanga pekee ndo wanajua mapenzi kuliko wote, ..kumbe kazi yao ni kuzungusha tu likiuno bila hata mpangilio...akizungukaaaaa weee bila hata manjonjo yeyote anafikir ndo kujua mapenzi...kuna watu wanatoka mikoani, wasomi wamesoma hadi kisomo namna ya kufanya majamboz ukikutana nao, hawaweki libwata lakini hutakuja uwaache...mimi mwanamke wa tanga simtaki...lakini kipenda roho hula nyama mbichi...
 
i hope huyo mchumba wako 'hujamgusa' mpaka leo hii mnapokwenda kutambulishana...
 
Ulisikia nani siku hizi anakataliwa? Hakuna kukataliw jiandae kukabidhiwa rasmi


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mchunge wife huyo Simbachawene asije akapitia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…