Leo nakuja Masasi wenyeji wa huko naomba niwajue

Naja naja

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Posts
747
Reaction score
1,454
Leo nipo safarini kuelekea masasi naomba kuwafahamu wenyeji wa huko wanioneshe mji ulivyo na vivutio vyake kwa ujumla .
 
Mkuu km wewe ni Me usijaribu kumchukua dada wa kimasasi utamuacha mkeo mwenzio nimeponea kwenye tundu la sindano usijarabu Tanga hawaingii kwa wadada wa masasi ni mafundi haijapata toka toka Dunia kuumbwa
He he he he ,sawa mkuu
 
Mkuu km wewe ni Me usijaribu kumchukua dada wa kimasasi utamuacha mkeo mwenzio nimeponea kwenye tundu la sindano usijarabu Tanga hawaingii kwa wadada wa masasi ni mafundi haijapata toka toka Dunia kuumbwa
Acha basi kweli?? Basi inabd nitembelee huko asee kila siku jamaa angu ananambia niende masasi nazingua naona ka patakua kijijin
 
Acha basi kweli?? Basi inabd nitembeleeufuta asee kila siku jamaa angu ananambia niende masasi nazingua naona ka patakua kijijin
Sio kijijini pamechangamka kiasi chake sababu kuna wafanyabiashara wa mbao msimu wa korosho mbaazi ufuta.nilijichanganya na dada wa huko Nurse mmoja anaitwa Tatu hatari kaka kila w end lzm niende Masasi au tukutane Lindi.
 
Sio kijijini pamechangamka kiasi chake sababu kuna wafanyabiashara wa ambao msimu wa korosho mbaazi ufuta.nilijichanganya na dada wa huko Nurse mmoja anaitwa Tatu hatari kaka kila w end lzm niende Masasi au tukutane Lindi.
Afu manurse kule inaonekana ndo chakula manake kuna nurse mmoja umri umekwenda anajanuary za kutosha alikosea namba akanipigia ni wa Nachingwea karbu na masasi kabisa yani hua ananikomalia kishenzi mwaka asaiv full kujikuta ananipenda wakati hata hatujawahi kuonana ashakomaa kichizi aje Moshi nimtafune mi nazngua
 
Wasichana wa masasi hawajawah kumuacha mtu salama na ule mji una guest house nying kuliko nyumba za ibada kuwa makin mkuu kuna maeneo kama mkuti na jida na rest hayo ni balaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…