Jacobs Humphrey
New Member
- Jul 31, 2022
- 1
- 0
Habarini za wakati huu ndugu zangu, moja kwa moja niende kwenye mada
Kumekuwa na wimbi kubwa na mateso makali sana ya haya matakataka (majini mahaba) kutesa watu wa jinsia zote kwa muda mrefu bila msaada na kusababisha huzuni kubwa katika maisha ya wahanga hawa.
Dalili zake ni nyingi sana na bahat nzuri kuna watalaam wamekuwa wakizielezea sana na moja ya dalili kuu kabsa ni kama mhanga anaota ndoto ya kuingiliwa na watu anaowajua au asiowajua. (Hapa sitaeleza sana coz yanafahamika)
TIBA
Tiba ya hii kitu ni Chumvi tu! (Najua huwezi amini kirahisi) sasa twende pamoja jinsi utakavyoitumia:
A: KWA WANAWAKE
Mwanamke unaeteswa na haya majini chukua chumvi kidogo tu wakati wa kulala hakikisha unaiweka kuzunguka sehem ile ya siri(uke) ila usiweke nyingi mpaka ikaingia ndani kwasababu utapata maumivu just weka kidogo tu then vaa underwear ili isimwagike
Hapo hakuna takataka itagusa mali yako mpaka panakucha asubh. Na najua utaamka na furaha sana(umepona)
B: KWA WANAUME
Kwa wanaume, wakati wa kulala mwaga chumvi kuzunguka kitanda chako hakikisha unamwaga chumvi juu ya kitanda chako kichwani mpaka miguuni, then lala kwa kusali / kuswali kwa imani yako na hakika utaamka bila uchafu wowote.
Sasa ikiwa kama mwanaume yanakuingilia kinyume na maumbile hii ni hatari sana, sasa utachukua chumvi kidogo utaiweka pale unapoingiliwa yaan hakikisha ile chumvi inabaki in between then vaa boksa yako lala salama pia usisahau kusali au kuswali(umepona)
na kitu cha kushangaza kabsa kuna wahanga wanapata na hii shida katika siku flani katika juma na muda specific yaan yapo on-time kuliko umeme
JIEPUSHE NA TABIA ZIFUATAZO
Kama una kitu hujaelewa au unataka maelezo zaidi nipigie 0620739091 au email humpheryjacobs174@gmail.com Nitakusaidia bure kabsa kwani sio vitu vyote nimeandika hapa kwasababu ya muda

- Jiepushe na kuangalia picha za uchi/ngono kwan ni chanzo kikuu za haya matakataka kama kweny cm yako umeifadhi hizi picha futa! wala usiangalie tena! (hapa kuwa serious coz its ur life)
- Kwa wanawake msipendelee kuvaa nusu uchi jaribu kuvaa kwa kufunika mwili wako vizur tena hasa kama tayari wew ni mhanga.