GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kuwa NUJUMU / TABIRI zangu kwa 95% huwa zinaenda vyema na kwa za hivi karibuni Mbili za Simba SC na Singida Fountain Gate FC na Simba SC na Azam FC zimeenda vile vile nikimaamisha kufanikiwa kwa 100%
Hivyo basi GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" nisiwachosheni sana na niwape huu UTABIRI / UNUJUMU wangu wa mwisho juu ya Klabu yetu ya Simba.
Ni kwamba kama Simba SC itashinda Mechi yake dhidi ya Yanga SC tarehe 8 Mwezi ujao (Machi) basi jueni Simba SC itaenda kuwa Bingwa Msimu huu wa 2024 / 2025 kwakuwa nimeona katika NUJUMU / TABIRI zangu kuwa kuna Mechi moja au mbili Yanga SC ataka Sare na akifanya masihara hata Kufungwa (na hii ni baada ya Kucheza na Simba SC)
Hivyo nimalizie tu kwa kusema kama kuna Kitu ambacho Uongozi wa Simba SC na wana Simba SC wote tunatakiwa Kukifanya ni kupanga sasa MIKAKATI YA KUFA MTU, ya KIVITA na hadi ya KUKUFURU ni jinsi gani TUTAMFUNGA Yanga SC hiyo tarehe 8 Mwezi Machi, 2025.
Tukitoka Sare / Suluhu na Yanga SC au Kufungwa nao tena basi wana Simba SC wote TUSIPOTEZE muda wetu KUJIGAMBA kuwa tutakuwa Mabingwa labda tutakuwa Mabingwa wa UMBUMBU ( UNGENDEMBWE) na UPUMBAVU (UPOPOMA)
Kama kuna Kiongozi yoyote wa Simba SC hapa JamiiForums na Mwandamizi pia au wale Watu wa Benchi la Ufundi tafadhali hakikisheni mnanifuatilia GENTAMYCINE hapa JamiiForums kwani kuna MAELEKEZO MAALUM (ya Kiufundi Uwanjani, ya Kiutamaduni / Kiuchawi na ya Kipropaganda) nitawapa kuelekea Mechi yetu dhidi ya Yanga SC na tafadhali NAWAONYENI mapema nawaomba MYAZINGATIE kwa 100% kama ambavyo nitawaelekezeni.
Kwa sasa tuacheni kuiwaza Mechi rahisi ya CAFCC dhidi ya Al Masri ya Misri na AKILI zetu zote tuzielekeze katika hii Mechi ambayo ni NGUMU na MUHIMU sana Kwetu Simba SC kama kweli tunautaka UBINGWA wa Msimu huu wa NBC Premier League.
Kati ya Ijumaa au mapema Jumamosi ya Wiki hii nitakuja na hayo MAELEKEZO MAALUM kwa Simba SC na narudia tena KUSISITIZA Kwenu kuwa MYAFUATE kama ambavyo nitawaelekezeni kwani Mimi ndiyo GENTAMYCINE na nina KARAMA nyingi NIMEKARIMIWA nae Mwenyezi Mungu hivyo mkinifuata na kunisikiliza mtafanikiwa.
Na kuanzia leo tusilaumiane na wala tusipoteze muda kujadili Mechi yetu ya jana na Azam FC kwani ni Matokeo ambayo NILIYATEGEMEA na KUYANUJUMU / KUYATABIRI mapema tu na kutokea vile vile nilivyosema.
Twendeni MSITUNI kuipangia Yanga SC mauwaji ya KISHALUBELA / KIKATILI hiyo tarehe 8 Mwezi Machi, 2025 kupitia Slogan yetu ya NGUVU MOJA na hii mpya ya UBAYA UBWELA na kamwe tusikate tamaa kwani bado Simba SC ina nafasi ya kuwa Bingwa Msimu huu endapo tu tutajipanga KIMIKAKATI na tuisimamie.
Nimemaliza.