Leo namalizia rasmi Unujumu / utabiri wangu wa uhakika juu ya Simba SC na Ubingwa wa NBC Premier League

Kumbe TANZANIA kuna Chuo Kikuu kiitwacho SAUTI? Nilikuwa sijui halafu kila Siku huwa nasema hapa JamiiForums kuwa ukijijua HUNA AKILI usipende sana Kuchangia kwani ni Kujidhalilisha tu hamsikii tu.
Akili yako imejaa NYAA
 
Wewe ni munajimu mwenye karama nyingi kwa mujibu wa maelezo yako, tuambie katika mechi ya simba na Yanga mshindi atakuwa nani? Mbona ni kama unabahatisha tu!
 
Maandishi mareeeeefu. Ni kuwa mshindi wa Machi 8 ndio bingwa mtarajiwa wa Ligi Kuu Tanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…