Chupu chupuuu.Yanga anastahili kumcheka Simba sababu mechi ya leo Simba hajaona lango la mwenzie kabisa, bora Yanga karudisha hata hako kamoja, comparisons zingine tuache tu[emoji3]
Droo ya 1 - 1 nyumbani? Ingekuwa ni knock out stage Yanga alikuwa ametoka moja kwa moja ilhali Simba angeenda kwenye penati.Yanga anastahili kumcheka Simba sababu mechi ya leo Simba hajaona lango la mwenzie kabisa, bora Yanga karudisha hata hako kamoja, comparisons zingine tuache tu😀
Nyie hata chupu chupu hamna yaani hamjaona lango la mwenzenu😀 aibuu hata kamoja tu hamna
Sijui ulijifunzia soka wapi? Ila kwa kifupi; aliyetoa droo ya 0 - 0 ugenini yuko vizuri kuliko aliyetoa droo ya 1 - 1 nyumbani.Nyie hata chupu chupu hamna yaani hamjaona lango la mwenzenu😀 aibuu hata kamoja tu hamna
Mkuu soka sijui kabisa na hiki nnachokifanya ni kuwatania tu, ukipanic ndiyo umechekwa ukachekeka hivo.Sijui ulijifunzia soka wapi? Ila kwa kifupi; aliyetoa droo ya 0 - 0 ugenini yuko vizuri kuliko aliyetoa droo ya 1 - 1 nyumbani.
Draw zote hakuna jipyaYanga anastahili kumcheka Simba sababu mechi ya leo Simba hajaona lango la mwenzie kabisa, bora Yanga karudisha hata hako kamoja, comparisons zingine tuache tu😀
Simba huyoo umenuna😀Draw zote hakuna jipya
Simba mnyama kazuia mashambulizi dakika 90 ila supu fc mmechomwa kimoko mkajikakamua kurudisha kwa mbinde sanaSimba huyoo umenuna😀
Kwan sisi ilopita tulitoa ya mabao pia.Yanga anastahili kumcheka Simba sababu mechi ya leo Simba hajaona lango la mwenzie kabisa, bora Yanga karudisha hata hako kamoja, comparisons zingine tuache tu[emoji3]
Shukuruni mmetoa aibuNyie hata chupu chupu hamna yaani hamjaona lango la mwenzenu😀 aibuu hata kamoja tu hamna
Hilo haliwezekani. Wachezaji wazawa sio kipaumbele huko Simba na Yanga.Tuwapongeze wote. Kwa kweli mchezo wa kandanda umepiga hatua kubwa nchini. Sasa matumaini yapo siku moja Tanzania itakuwemo katika Kombe la Dunia.
Hee maajabu haya, timu siku hizi kwenye knock out zinatoka kwa kucheza first leg pekee? Hiyo ni aggregate ya wapi inayochukua matokea ya first leg pekee?Droo ya 1 - 1 nyumbani? Ingekuwa ni knock out stage Yanga alikuwa ametoka moja kwa moja ilhali Simba angeenda kwenye penati.
Umekariri mpira hujui, Simba alitoa sare ya 0 - 0 dhidi ya UD Songo, unakumbuka second leg ilitokea nini kwa Mkapa? Mpira hauna kanuni, ni kujipanga tu popote unaweza kutolewa.Sijui ulijifunzia soka wapi? Ila kwa kifupi; aliyetoa droo ya 0 - 0 ugenini yuko vizuri kuliko aliyetoa droo ya 1 - 1 nyumbani.