Leo naomba mniulize chochote kuhusu mimi

Nahitaji nini na nini ili nifikie level yako ya maisha? Namaanisha kiuchumi
Sijui kama unafahamu level yangu ya Maisha ila ukitaka kufikia level yangu ambayo na mimi pia bado nahangaika kuipandisha maana sijafikia ndoto zangu ile 100% ni kufanya kila jambo kwa bidii na kuhakikisha unapata elimu ya kutosha na sahihi. Pia jitahidi sana kujifunza vitu vingi kila siku haswa nje ya mfumo wa kawaida wa elimu utapata maarifa makubwa sana kimaisha

Jifunze jifunze jifunze. Humu JF kuna madini sana ukipatumia positively unatoka kimaisha. Nchi yetu ni simple sana kufanikiwa kuliko nchi nyingi nilizozunguka duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…