Leo Naseeb Abdul aka Diamond ametimiza miaka 35 ya kuzaliwa

Leo Naseeb Abdul aka Diamond ametimiza miaka 35 ya kuzaliwa

KADA maarufu wa CCM mwenye views zaidi ya bilion 2.6 na Wafuasi million 9.2 Kwenye Mtandao wa You tube anasherehekea Siku ya Kuzaliwa kwake

Gazeti la Mwananchi
Hiyo nayo ni habari, tena Kwenye Jukwaa la kisiasa??😳

Hiyo ipeleke kule Kwenye Jukwaa lao kina Steve Nyerere na Wema Sepetu😁
 
Dai kama dai🤣🤣🤣 vip na yeye ameweka sherehe kama za bad boy?
 
Back
Top Bottom