William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Impact ya Chama jangwani sio kwenye mechi tu. Bali kwenye uwanja wa mazoezi.
Sio Aziz ki, Pacome na Max wote walisema walitamani Sana kucheza na Chama. Sisi huku vilaza oh kazeeka. Oh ela kubwa.
Chama now sio mchezaji. Anaweza kuwa assistant coach au kocha kamili wa viungo washambuliaji na wafungaji.
Yule mnampeleka darasani anawafundisha viungo wote namna ya kulisha mipira ya magoli. Shabaha, speed na utulivu.
Nilitamani wote watoke Simba ila sio Chama. Chama angebaki ata baada ya kustaf soka awe assistant coach. Apewe mishahara miwili. Awafundishe akina Auwa na mukwala utulivu katikati ya sita.
Alimlisha phiri hakuamini. Oh... Bora aende. Njia aliyotokea Azam kimataifa ndio Simba atakayopitia msimu huu.