Leo natimiza miaka 27

MUBIKU

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2014
Posts
283
Reaction score
384
Wakuu habar za jion Mimi ni kijana jinsia ME, Leo saa 6:01 usiku natimiza umri Wa miaka ishirin na saba (27) Namshukuru mungu mungu , wazaz , ndgu na rafiki.

Hivyo napenda tujuzane ni vitu gani muhim nilipaswa kufanya au
Napaswa kufanya katika umri huu ambao Mimi naona nimekuwa MTU mzima.

Ahsanteeni mawazo yenu ni muhimu sna kwangu karbuni.
 
Miaka
Miaka ishirini na moja si mtu mzima ndugu.
 
Heading unatimiza miaka 27
Contents unatimiza miaka 21
Je wewe ni mmoja au wawili?
 
Kweli we ueleweki, wakati unatype ulikuwa unaandaa keki?
How possible unatimiza 27 yrs at the same time 21 yrs.

HBD TO YOU BROTHER

Achana na vibumbu nunua cherehani uongeze idadi ya viwanda.
 
Kweli we ueleweki, wakati unatype ulikuwa unaandaa keki?
How possible unatimiza 27 yrs at the same time 21 yrs.

HBD TO YOU BROTHER

Achana na vibumbu nunua cherehani uongeze idadi ya viwanda.
Shukran kk
 
Mbalii na kukosoa , tuangalie zaid , kujenga au kushaur maana hata mada imeshabadilika ishaukuwa ya 21 na 27 sasa
 
Mekuu ndg yang tatzo watanzania tuna focus errors/default kuliko solution
Inaonekana uliingoja sana birthday yako! mpaka watu hawakuelewi elewi, mara unakosea kosea kuandika!

Happy birthday!
 
Kwani kuna umri stahiki wa kutimiza malengo?. Na ktk umri huo unanini na umefikia wapi ktk mipango yako then tupate pa kuanzia
 
Bila shaka bado utakua unakaa kwa wazazi, kama ni hivyo jitahidi Mara moja utoke hapo ili ukajifunze kujitegemea na kujua namna ya kupambana na changamoto mbali mbali za Maisha
 
Bila shaka bado utakua unakaa kwa wazazi, kama ni hivyo jitahidi Mara moja utoke hapo ili ukajifunze kujitegemea na kujua namna ya kupambana na changamoto mbali mbali za Maisha
Mkuu nimeanza kuishi mbali na wazaz( kujitegemea)tangu mwaka 2011
 
Kwani kuna umri stahiki wa kutimiza malengo?. Na ktk umri huo unanini na umefikia wapi ktk mipango yako then tupate pa kuanzia
Nna asset za viwanja 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…